Sera imara huvutia uwekezaji – RC
NA HAFSA GOLO MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharib, Moh’d Abdalla Ali, amesema kuwa sera madhubuti za uwekezaji zimeendelea kuifungua nchi kuwa kimbilio kwa wawekezaji… Read More »Sera imara huvutia uwekezaji – RC
NA HAFSA GOLO MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharib, Moh’d Abdalla Ali, amesema kuwa sera madhubuti za uwekezaji zimeendelea kuifungua nchi kuwa kimbilio kwa wawekezaji… Read More »Sera imara huvutia uwekezaji – RC
NA KHAMISUU ABDALLAH SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imepitisha rasmi sera ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ya Zanzibar ya mwaka 2026, ambayo tayari… Read More »Serikali yapitisha sera ya TEHAMA
NA SELEMAN TAMBULEGENI MKURUGENZI Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF), Nassor Shaaban Ameir, amesema Serikali ya Awamu ya Nane, imeweka utaratibu mzuri… Read More »ZSSF yapokea mabasi mengine matano ya umeme, kuanza karibuni
NA MAUA ABDULLA, BMMA MSTAHIKI Meya wa Baraza la Manispaa Magharibi ‘A’, Chumu Shuwari Machano, amewataka Madereva na Makondakta wa gari za abiria zinazofanya safari… Read More »Manispaa yawaadhibu madereva waliokatisha ‘ruti’
NA ZUHURA JUMA, PEMBA MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema serikali itaendelea kuchukua hatua mbalimbali zitakazohakikisha muhimili wa mahakama unatekeleza… Read More »Dk. Mwinyi: Tutaendelea kuimarisha muhimili wa mahakama
NA HAFSA GOLO SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inatarajia kutumia shilingi bilioni 35 kwa ajili ya ujenzi wa skuli nne za kisasa za ghorofa mbili… Read More »Serikali yatenga 35bn/- ujenzi skuli za ghorofa Mjini
Na Saida Issa, Dodoma Mbunge wa Jimbo la Malindi, Muhsin Haji Ussi ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Vijana kuweka fedha kwaajili ya mitaji rafiki kwa… Read More »Vijana wanauthubutu,mitaji ndiyo changamoto – Mbunge Malindi
Na Saida Issa, Dodoma MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Martha Gido ameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt.… Read More »Mbunge aipongeza Serikali ya Samia kwa miradi mikubwa
Serikali imethibitisha kuwa Jimbo la Katoro linatarajiwa kupokea gari jipya la zimamoto na uokoaji ifikapo tarehe 09 Februari, 2026, hatua inayolenga kuimarisha huduma za dharura… Read More »Gari jipya la zimamoto kufika februari 9
Na Saida Issa, Dodoma. Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuchukua hatua za haraka kusajili na kuthibitisha madereva… Read More »Mbarawa Aagiza LATRA, Polisi Wakaze Kamba Kuwalinda Wanafunzi
SERIKALI YASHAURIWA KUTUNGA SHERIA MAALUM YA UGATUAJI Mbunge wa Jimbo la Nanyamba, Abdalah Chikota, ameitaka Serikali kuja na sheria maalum ya ugatuaji ili kuweka wazi… Read More »Serikali yashauriwa kutunga sheria maalum ya ugatuaji
NA KHAMISUU ABDALLAH TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), imeidhinisha rasmi zoezi la kuteketeza nyaraka zote zilizotumika katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa mwaka 2025,… Read More »Mwenyekiti ZEC aidhinisha kuteketezwa nyaraka za uchaguzi