Simba,Yanga zahamishia mawindo Algeria
NA CLEZENCIA TRYPHONE, Dar es Salaam VIGOGO wa soka Tanzania Simba na Yanga wamepishana angani kila mmoja akiwa na msafa wake kwenda kuiwakilisha nchi katika… Read More »Simba,Yanga zahamishia mawindo Algeria
NA CLEZENCIA TRYPHONE, Dar es Salaam VIGOGO wa soka Tanzania Simba na Yanga wamepishana angani kila mmoja akiwa na msafa wake kwenda kuiwakilisha nchi katika… Read More »Simba,Yanga zahamishia mawindo Algeria
BERLIN, Ujerumani KWA mujibu wa ripoti katika vyombo vya habari vya soka nchini Ujerumani, Liverpool wamemtaja nyota wa Misri, Omar Marmoush kuwa mchezaji atakayechukua nafasi… Read More »Marmoush kumrithi Salah Anfield
LONDON, England LIVERPOOL na Newcastle wapo mbioni kumenyana katika kinyang’anyiro cha kuwania moja ya mali moto zaidi kwenye Ligi Kuu ya England, Bryan Mbeumo. Vinara… Read More »Liverpool, Newcastle Zamfukuzia Mbuemo
ROME, Italia GWIJI wa Arsenal, Patrick Vieira, ameteuliwa kuwa kocha mkuu mpya wa klabu ya ‘Serie A’ ya Genoa. Kocha huyo mwenye umri wa miaka… Read More »Vieira bosi mpya Genoa
NA ZAINAB ATUPAE MWENYEKITI wa timu ya Real Kids Nassor Abdalla Zungu,amesema wamejipanga kuchukua ubingwa msimu huu na kuipandisha timu daraja. Real Kids inayoshiriki ligi… Read More »Real Kids yajipanga kuchukua ubingwa
NA TIMA SALEHE, DAR ES SALAAM MLINDA mlango wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Tanzania, Aish Manula, ametoa pole kwa wahanga wa… Read More »Nyota taifa stars waguswa ajali ya gorofa Kariakoo
NA TIMA SALEHE,DAR ES SALAAM KOCHA mkuu wa klabu ya Simba,David Fadlu amejivunia walinda mlango wale Aish Manula na Moussa Kamara kuwepo katika timu za… Read More »Fadlu ajivunia Kamara,Manula
NA MWANDISHI WETU YANGA imetinga fainali ya CRDB Federation Cup baada ya kuilaza Ihefu goli 1-0 kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili, uliochezwa uwanja… Read More »Fainali CRDB Federation Cup ni Yanga Vs Azam
BARCELONA, Hispania BARCELONA wanafikiria kumfukuza kocha mkuu, Xavi. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 44 alitangaza Januari kwamba angejiuzulu mwishoni mwa msimu, lakini, akashawishiwa kusalia… Read More »Barcelona yafikiria kumfukuza Xavi
BAYER Leverkusen imekuwa timu ya kwanza ya Bundesliga kumaliza msimu wa ligi bila ya kufungwa huku ndoto yao ya ‘kushinda mataji matatu’ ikisalia hai. Kikosi… Read More »Leverkusen yaweka rekodi Bundesliga
LONDON, England MANCHESTER City wametawazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) msimu 2023/24, na kuwa timu ya kwanza ya wanaume katika historia ya soka… Read More »Man City Bingwa EPL kwa mara 4 mfululizo
BENKI ya NMB imekabidhi vifaa vya michezo vyenye thamani ya Sh. Milioni 16.7, ambavyo ni sehemu ya udhamini kwa timu zitakazoshiriki mashindano ya Baraza la… Read More »NMB yakabidhi vifaa vya Mil. 16.7/- timu za Majeshi Tanzania