Video

Video

Hakuna kilichoandikwa

HABARI ZAIDI

Ongezeko la watu Afrika halitishi – Kagame

KIGALI, RWANDA RAIS wa Rwanda Paul Kagame, amewaasa  viongozi wa Afrika kuwekeza zaidi kwa vijana. Amesema kwamba ongezeko la idadi ya watu kote barani Afrika halipaswi kuonekana kama ni tishio lakini wanapaswa kuzingatia kuwa hiyo ni neema. Rais Kagame alieleza hayo katika mkutano wa Biashara kwa Afrika...