Video

Video

Hakuna kilichoandikwa

HABARI ZAIDI

May awaonya Wahafidhina kutohujumu Brexit

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May amewaonya wanachama wa chama chake cha Conservative kuwa huenda nchi hiyo isiweze kujiondoa rasmi kutoka Umoja wa Ulaya, mchakato ujulikanao Brexit iwapo watahajumu mpango wake kuhusu mchakato huo. Wiki hii, May ametumia muda mwingi akijaribu kuwashawishi wanasiasa kuhusu mpango...