Michezo kitaifa

Michezo kitaifa

Habari mbalimbali za michezo nchini

Mashindano elimu bila malipo yaanza kwa kishindo

NA AMEIR KHALID MASHINDANO tamasha la 54 ya elimu bila ya malipo ngazi ya taifa yameanza kutimua vumbi kwa kupigwa michezo tofauti katika viwanja...

Ferej ataja wenye sifa kuongoza ZFA

 NA NASRA MANZI RAIS wa zamani wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA), Ali Ferej Tamim, amesema, umefika wakati sasa kwa soka la Zanzibar kuongozwa na...

HABARI ZAIDI

Kimbunga Mangkhut chaua watu  65  Ufilipino

MANILA, UFILIPINO MAMLAKA  za Ufilipino zinasema kimbunga kikali kimesababisha vifo vya watu 65 kwenye kisiwa cha Luzon. Polisi wanasema watu 43 bado hawajulikani mahali walipo baada ya kimbunga Mangkhut kusababisha maporomoko ya ardhi kaskazini mwa Luzon likiwemo jimbo la Benguet. Kimbunga hicho kinaaminika kuharibu nyumba zisizopungua 2,800....