Michezo kimataifa

Michezo kimataifa

Habari mbalimbali za michezo katika mataifa ya ulaya, Asia na Afirika

VENUS, SERENA WAIBEBA MAREKANI

PARIS, Ufaransa USHINDI mara mbili katika mechi za mchezaji mmoja mmoja aliopata Venus Williams kwenye mchuano wa hatua ya robo fainali ya kimataifa kati ya...

Mourinho: Newcastle walitukamia

LONDON, England MENEJA wa Manchester United, Jose Mourinho, amesema, klabu yake haingelifunga bao hata kama ingelicheza kwa saa 10 kufuatia kikosi hicho kupoteza 1-0 dhidi...

HABARI ZAIDI

Kesi dhidi ya Ahed Tamimi yaanza Israel

JERUSALEM, ISRAEL MAHAKAMA ya kijeshi ya Isreal imeanza rasmi kusikiliza kesi dhidi ya binti wa Kipalestina aliyempiga makofi mwanajeshi wa Israel. Binti huyo Ahed Tamimi ambaye alitimiza miaka 17 mwezi uliopita, anakabiliwa na mashitaka 12, na ikiwa atapatikana na hatia anaweza kupewa kifungo cha miaka kadhaa...