Michezo na Burudani

Michezo na Burudani

MANCHESTER, England KOCHA, Ole Gunnar Solskjaer, ameunga mkono kiwango cha mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akisema atafikia kama Cristiano Ronaldo na Wayne Rooney. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 21 alifunga goli la 41 kwenye michezo yake 150 akiwa na klabu hiyo wakati United ikiichapa Brighton 2-1 juzi, akifikia hatua...
LAS VEGAS, Marekani BONDIA, Manny Pacquiao kutoka Ufipino ameshinda pambano lake dhidi ya Mmarekani, Adrien Broner kwa pointi na kufanikiwa kutetea ubingwa wake wa WBA. Pambano hilo lilifanyika katika ukumbi wa MGM Grand Mjini Las Vegas, Marekani ambapo majaji wote watatu walimpa Pacquiao pointi 117-111, 116-112, 116-112. Pacquiao (40) alimzidi Broner kwenye karibu...

UDAKU KATIKA SOKA