Tahariri

Tahariri

Tahariri

Jamii isikilize, izingatie utabiri hali ya hewa

KWA mwaka mmoja Zanzibar inapitia kwenye miongo mbalimbali ya hali ya hewa, tumekuwa tukipata mvua nyingi, mvua za wastani, kipindi cha jua, baridi na...

Hili la ZFA la ufadhili, tunapaswa kuwaunga mkono

KATIKA toleo letu la juzi tulichapisha habari juu ya Chama cha Soka Zanzibar (ZFA), kilielezea namna kinavyoendelea kutafuta wadhamini wa Ligi Kuu ya Zanzibar...

HABARI ZAIDI

Serikali kulipa fidia utanuzi uwanja wa ndege Pemba

NA HAJI NASSOR, PEMBA WANANCHI 372 wa shehia za Mfikiwa na Mvumoni wilaya ya Chake Chake Pemba, ambao nyumba zao huenda zikavunjwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege kisiwani humo, wameiomba serikali kuwalipa fidia kwa wakati, ili wajipange na maisha mapya sehemu nyengine. Walisema hawana shaka...