29 C
Zanzibar
Tuesday, December 12, 2017

Sera ya Marekani nchini Syria ilivyoharibu ustawi wa nchi hiyo

TAREHE 7 Aprili Rais Donald Trump wa Marekani alituma makombora 59 aina ya ‘Tomahawk’ kushambulia  kituo cha kijeshi cha al-Shayran nchini  Syria. Mashambulizi haya yalifanyika...

Elimu ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu Z’bar bado si rafiki

Majengo, mazingira ya skuli ni kikwazo, SMZ yasema imepunguza tatizo hilo ‘HUJAFA hujaumbika’, Mwanaadamu yoyote ni mlemavu mtarajiwa’ misemo hii ni maarufu sana katika ukanda...

HABARI ZAIDI

JUMAZA yawataka wananchi kutovunjika moyo vita dhidi ya udhalilishaji

NA ZAINAB ATUPAE KUFUATIA kuahirishwa maandamano ya kupinga udhalilishaji yaliyokuwa yameandaliwa na Jumuiya wa Maimamu Zanzibar  (JUMAZA), Katibu Mtendaji wa jumuiya hiyo, Muhidini Zubeir, amewataka wananchi kutovunjika moyo, badala yake waendeleze mapambano dhidi ya tatizo hilo. Hayo aliyasema wakati akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake...