Habari za kitaifa

Habari za kitaifa

Mume na Mke wasotea rumande

NA HUSNA SHEHA. MAHAKAMA ya Mkoa Mfenesini  imewanyima dhamana  watu wawili ambao ni mume na mke, baada ya kupatikana  na  kiwango kikubwa cha  dawa za  kulevya . Washitakiwa Mussa Khamis Madai (29)...

Nje, ndani ya Wema kujulikana leo

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM HATMA ya hukumu ya kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili msanii na mlimbwende wa Tanzania mwaka 2006,...

HABARI ZAIDI

Manispaa kuung’arisha mji

NA ASYA HASSAN BARAZA la Manispaa Mjini, hivi karibuni linatarajia kufunga mkataba na vikundi 15 vya kufanya usafi katika maneo mbalimbali ya manispaa ya mjini. Akizungumza na gazeti hili ofisini kwake Malindi, Ofisa Uhusiano wa baraza hilo, Hassan Yahaya Hassan, alisema vikundi hivyo ambavyo vitakuwa na...