Habari za kimataifa

Habari za kimataifa

Xi Jinping kuwa rais wa maisha

BEIJING, CHINA CHAMA tawala cha National People's Congress nchini China, kimeidhinisha marekebisho ya kipengee cha katiba ya kufutilia mbali uongozi wa mihula miwili kwa Rais...

Jeshi Syria ladhibiti nusu ya mji wa Ghouta

DAMASCUS, SYRIA JESHI la Syria limechukua udhibiti wa nusu ya mji wa Ghouta Mashariki, na kuligawa katika sehemu mbili eneo linalobaki mikononi mwa waasi. Shirika linalochunguza...

HABARI ZAIDI

ZPC yampongeza Dk. Shein

NA MWINYIMVUA NZUKWI KLABU ya waandishi wa habari Zanzibar (ZPC), imempongeza Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein kwa hatua yake ya kuwateua wanachama wa muda mrefu wa klabu hiyo Dk. Saleh Yussuf Mnemo na Abdullah Hassan Mitawi kuwa Manaibu katibu wakuu. Katika uteuzi ambao Dk....