Habari za kimataifa

Habari za kimataifa

Mwanamke abakwa, kuuawa Kampala

KAMPALA, UGANDA MWANAMKE mmoja anayesadikiwa kuwa ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha  Makerere, ameripotiwa kubakwa na kuuliwa na baadae mwili wake kutelekezwa karibu na eneo...

KMA yaonya maafa Pwani ya Kenya

NAIROBI, KENYA MAMLAKA ya Usafiri wa Baharini Kenya (KMA), imetoa tahadhari ya kutokea maafa  katika bahari ya Hindi katika simu tatu zijazo iwapo tahadhari hiyo...

HABARI ZAIDI

Mume na Mke wasotea rumande

NA HUSNA SHEHA. MAHAKAMA ya Mkoa Mfenesini  imewanyima dhamana  watu wawili ambao ni mume na mke, baada ya kupatikana  na  kiwango kikubwa cha  dawa za  kulevya . Washitakiwa Mussa Khamis Madai (29) na mkewe Mwanaidi Rashid Mkajikuta (42) wate wakaazi wa Kiwengwa Gulioni Wilaya ya Kaskazini ‘B’Mkoa wa Kaskazini Unguja,walifikishwa mahakamani hapo...