Habari

Habari

Akamatwa kwa tuhuma za kutaka kuiba mtoto Mnazimmoja

NA MARYAM HASSAN UONGOZI wa hospitali kuu ya Mnazimmoja, umemkamata mwanamke mwenye umri wa miaka 38 kwa tuhuma za kujaribu kuiba mtoto katika wodi ya...

TMA yatoa tahadhari mvua za masika

NA MWANDISHI WETU MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kanda ya Zanzibar, imesema mvua za masika zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya kwanza na...

HABARI ZAIDI

Wanafunzi 17 wauawa Florida

NEWYORK, MAREKANI KIJANA aliyewaua watu 17 katika shambulizi la risasi kwenye skuli moja iliyopo jimbo la Florida, Marekani anasadikiwa kuwa alibonyeza kengele ya hatari ya moto ili kuweza kuwapata watu wengi zaidi kutoka madarasani kabla ya kufanya shambulizi hilo. Nikolas Cruz, 19, baada ya hatua hiyo...