Lema arejea uraiani

NA JOSEPH NGILISHO, ARUSHA MAHAKAMA Kuu kanda ya Arusha, imemuachia Mbunge wa Arusha Mjini, Godblles Lema kwa dhamana ya shilingi milioni moja pamoja na wadhamini...

VITA DAWA ZA KULEVYA

Wawakilishi wawasha moto ASYA HASSAN NA HAFSA GOLO MWAKILISHI wa Jimbo la Mapendae, Mohammed Said Mohammed (Dimwa), ameiomba serikali kuchukua mikakati madhubiti itakayohakikisha suala la dawa...

Mchanga wa madini marufuku kusafirishwa nje

NA BENJAMIN SAWE, DAR ES SALAAM RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amezuia usafirishaji wa mchanga wa madini kwenda kuuchenjua...

Mamilioni tabianchi yahofiwa kutafunwa

NA EVELYN MKOKOI, RUFIJI NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina amebaini madudu katika matumizi ya shilingi milioni 396 za...

AfDB kuendelea kuiunga mkono Z’bar

NA MWANDISHI WETU RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imekuwa...

Waandishi watakiwa kufuata maadili

KHADIJA KHAMIS, MAELEZO WAZIRI wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo, Rashid Ali Juma, amewataka waandishi wa habari kufuata maadili ya kazi zao ili kuepuka  kuandika...

Kamati BLW yalia na TANESCO

MADINA ISSA NA LAYLAT KHALFAN KAMATI ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi, imeitaka serikali kuingilia kati sulala la deni la kila mwezi la...

Mtendaji Baraza la mji mikononi mwa ZAECA

NA MWANDISHI WETU, PEMBA MAMLAKA ya Kuzuia na Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar (ZAECA) ofisi ya Pemba, imemtia mikononi Mtendaji mmoja wa Baraza la...

Prof. Mbarawa azionya kampuni za simu

NA MWANAJUMA ABDI, DAR ES SALAAM WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa ametoa onyo kwa kampuni za simu kutojenga mazingira ya kukwamisha...

TMA Z’bar yazitaka taasisi kujinga kuepuka maafa

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania kanda ya Zanzibar, imezitaka sekta za kilimo, usafirishaji, manispaa, halmashauri na Wizara ya Afya, kujiandaa kwa kuchukua kutokana...

Waziri akitaka IPA izalishe watendaji walioiva kimaadili

NA MWANDISHI WETU CHUO Cha Utumishi wa Umma Zanzibar (IPA), kimetakiwa kuwa chimbuko la kuwandaa na kuwazalisha watendaji walioiva kimaadili, ili nchi iwe viongozi bora...

Wavuvi wafa wakivua

WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya kuzama baharini wakiwa katika shughuli zao za uvuvi wa kutumia nyavu za kukokota, katika...

PAC: Matumizi 8.4bn/- yamekiuka taratibu

Kamati yataka mikakati zaidi ya udhibiti KAUTHAR ABDALLA NA KHAMIS AMANI KAMATI ya Kuchunguza na Kudhibiti Hesabu za Serikali na Mashirika (PAC) ya Baraza la Wawakilishi,...

Sightsavers yaipatia Z’bar vifaa 78.7m/-

NA JACQUILINE MRISHO, MAELEZO SHIRIKA la kimataifa lisilo la kiserikali la Sightsavers limekabidhi vifaa vyenye   thamani ya shilingi 78,765, 898 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ili...

CCM yawashukuia wanaochafua wenzao

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimesema wakati wa kuwavumilia viongozi, watendaji na wanachama wanaowachafua na kuwakashfu wenzao kupitia mitandao ya kijamii...

Uganda yaongoza kwa ufasaha wa lugha ya kiingereza Afrika

UGANDA imetajwa kuwa nchi yenye raia wanaozungumza lugha ya Kiingereza kwa ufasaha barani Afrika. Utafiti uliofanywa na shirika la lugha duniani World Linguistic Society umebainisha...

Urusi na China zatumia kura ya turufu kuisaidia Syria

URUSI na China zimetumia kura ya turufu kuzuia jaribio la Umoja wa Mataifa la kutaka kuiwekea vikwazo serikali ya Syria. Marekani, Uingereza na nchi nyengine...

Wakfu wa Mo Ibrahim washindwa kumpata mshindi

WAKFU wa Mo Ibrahim, kwa mara nyingine tena umeshindwa kumpata mshindi wa tuzo ya uongozi bora barani Afrika kwa mwaka 2016. Wakfu huo umetangaza kuwa...

Dk. Shein: Hakuna kuvunjwa Baraza

Aitaka jamii ipuuze upotoshaji NA RAJAB MKASABA, IKULU RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa yeye ndie Rais...

Polisi 15 wanashirikiana na wauza ‘unga’ Z’bar

NA MADINA ISSA MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed Mahmoud, amesema maofisa 15 wa polisi Zanzibar wanatumiwa kushirikiana na wasafirishaji wa dawa za...