Amunike aita wakuivaa Uganda

KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars: Emmanuel Amunike ametangaza kikosi cha wachezaji wa timu hiyo kwa ajili ya mchezo wa...

AU yatoa mafunzo kwa vijana kupambana na itikadi kali

MOGADISHU, SOMALIA UJUMBE wa Umoja wa Afrika (AU)  nchini Somalia umesema,  unashirikiana na taasisi za usalama na kutoa mafunzo ya siku mbili kwa vijana wa...

Vifo vya Ebola DRC vyafikia watu 55

KINSHASA, CONGO MRIPUKO wa ugonjwa wa Ebola mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umepoteza maisha ya watu 55 tangu kuanza mwezi huu. Wakati vifo...

Watu 103 wakamatwa wakipinga kukamatwa Bobi Wine

KAMPALA, UGANDA POLISI nchini Uganda imesema,  imewakamata watu 103 katika maandamano yaliozuka kupinga kukamatwa kwa mbunge wa upinzani Robert Kyagulanyi au Bobi Wine pamoja na...

Bunge la Seneti DRC lataka Katumbi arejee nyumbani

KINSHASA, CONGO SPIKA  wa baraza la seneti nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC), Leon Kengo wa Dondo,  ameitaka serikali ya nchi hiyo kuhakikisha mwanasiasa...

Ubakaji, ukeketaji mabinti wakithiri  Kitui

NAIROBI, KENYA MWAKILISHI wa viti maalumu Wanawake katika Kaunti ya Kitui, Irene Kasalu amesema,  mabinti walio wengi katika eneo la  Thagichu Mwingi Kaskazini wamefanyiwa ukeketaji. Kasalu...

Udaku katika soka

IVAN RAKITIC PARIS St-Germain inavutiwa na Mcroatia, Ivan Rakitic, lakini,Barcelona haina azma ya kupokea ofa kwa ajili ya kiungo huyo mwenye umri wa miaka 30...

Watoto wawili watupwa

NA HAFSA GOLO MKUU wa Kituo cha Kulelea Watoto Mazizini, Saida Ali Mohamed, amesema katika muda wa wiki moja, wamepokea watoto wawili waliokuwa wametupwa na...

Dk. Bashiru apania kuondoa utegemezi CCM

NA IS-HAKA OMAR, PEMBA KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania, Dk. Bashiru Ally amesema chama hicho kinadhibiti mianya ya ubadhilifu wa rasilimali fedha...

Z’bar, Burundi kuimarisha ushirikiano

NA RAJAB MKASABA, IKULU RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Balozi Seif awatahadharisha wakandarasi

NA ABDI SULEIMAN MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, amesema serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, haitaipokea miradi ya ujenzi itakayobainika...

Polisi kuimarisha ulinzi sikukuu

TATU MAKAME NA MARIAM HASSAN JESHI la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, limesema litawachukulia hatua wafanyabiashara watakaouza silaha za jadi katika viwanja vya sikukuu. Aidha...

Sala ya Eid kusaliwa Makunduchi

NA MWANAJUMA MMANGA SALA ya Idd El-Hajj kitaifa, inatarajiwa kusaliwa katika kijiji cha Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja. Ofisa  shughuli  za hijja katika...

Gofu waiomba serikali kuwajengea kiwanja

NA ZAINAB ATUAPE MCHEZAJI wa zamani wa mchezo wa Gofu Kassim Ame Issa  ameiomba serikali,kuwatengenezea uwanja wa mchezo huo ili kuondokana na tatizo la ukosefu...

Mourinho atabiriwa mabaya United

LONDON, ENGLAND MCHEZAJI wa zamani wa Manchester United Lee Sharpe anaamini Jose Mourinho anaishi katika wakati mgumu hivi sasa ndani ya Old Trafford huenda akaondoka...

Jamhuri,Mwenge zatoka sare

NA ABDI SULEIMAN LIGI Kuu Zanzibar hatua ya nane bora imeendelea kutimua vumbi  kwa kupigwa mchezo mmoja katika uwanja wa Gombani Pemba, ambapo timu za...

Kiir aahidi kutekeleza mpango wa amani

JUBA, SUDAN KUSINI RAIS wa Sudan Kusini  Salva Kiir  amerejea nchini baada ya ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini  Eritrea. Wakati wa ziara hiyo, Rais ...

Vifo vya Ebola vyafikia watu 49 DRC

KINSHASA, CONGO IDADI ya vifo vilivyotokana na ugonjwa wa Ebola katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imefikia watu 49 tangu kuibuka upya kwa ugonjwa...

Waandamanaji washinikiza Bobi Wine kuachiliwa huru

KAMPALA, UGANDA MABOMU ya machozi na risasi vimerindima hapo jana katika mitaa mbalimbali ya jiji la  Kampala wakati Polisi na jeshi walipopambana na waandamanaji waliopinga...

Waziri atumia Baiskeli kwenda Hospitali kujifungua

WELLINGTON, NEW ZEALAND WAZIRI wa masuala ya wanawake huko New Zealand Ameendesha baiskeli hadi hospitali kujifungua mtoto wake wa kwanza. Julie Genter kutoka chama cha kijani,...