HISPANIA imemfukuza kazi kocha wake wa timu ya taifa Julen Lopetegui ikiwa imebaki siku moja kuanza fainali za kombe la dunia.

Kocha huyo amefukuzwa kazi siku chache baada ya kutangzwa na klabu ya Real Madrid kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo.

Real Madrid ilimtangaza kocha huyo kuwa kocha wake mkuu Jumanne iliyopita kuchukua mikoba ya kocha Zinedine Zidane ambaye ambaye alitangaza kuachia ngazi.

MAONI YAKO