UTABIRI

Zanzibar
broken clouds
30 ° C
30 °
30 °
74%
3.1kmh
75%
Thu
28 °
Fri
28 °
Sat
28 °
Sun
31 °
Mon
30 °
TANGAZA

Dk. Shein: Viongozi elezeni mafanikio tuliyopata

Asema wananchi wana haki kujua kilichonyika NA RAJAB MKASABA, IKULU RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka viongozi...

Balozi Seif: Fursa za uchumi Z’bar hazijatangazwa ipasavyo

NA HAFSA GOLO MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema ili Zanzibar iweze kufikia uchumi wa kati, inapaswa kubuni fursa...

Kamati za shehia zajidhatiti kupambana na udhalilishaji

NA SHARIFA MAULID KAMATI za kupambana na udhalilishaji wa kijinsia za shehia za Unguja, zimeeleza kuwa zinatarajia kufanyakazi ya kuielimisha jamii namna ya kujikinga, kupambana...

Mtoto afa kwa kutumbukia kwenye shimo la choo

NA LAYLAT KHALFAN MTOTO mmoja  mwenye umri wa miaka mitatu, amefariki baada ya kuingia kwenye shimo la choo. Msaidi Mkuu wa Kituo cha Zimamoto Mjini, ASF...
TANGAZA

Habari Picha

TAHARIRI

UCHAMBUZI

Waziri aagiza kupelekwa wataalamu Abdalla Mzee

NA  HANIFA SALIM, PEMBA WAZIRI wa Hamad Rashid Mohammed, ametoa agizo kwa katibu mkuu na ofisa mdhamini  wa...

Udaku katika soka

JACK BUTLAND LIVERPOOL wana uhakika wa kufanikisha rekodi ya pauni milioni 40 kwa kipa wa England na Stoke...

Watano wanaswa kwa dawa za kulevya

NA HANIFA RAMADHANI JESHI la polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, limewakamata watuhumiwa watano, katika operesheni ya kupambana...

Balozi Seif: Fursa za uchumi Z’bar hazijatangazwa ipasavyo

NA HAFSA GOLO MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema ili Zanzibar iweze...

HABARI ZAIDI

MAKALA